KAMA SI WEWE // MSANII MUSIC GROUP

Описание к видео KAMA SI WEWE // MSANII MUSIC GROUP

Join this channel to get access to perks:
   / @msaniirecordseastafrica  

Lyrics
Written by Joash Nyamongo

Kama si wewe, singelikuwa hapa
Kama si wewe, singelikuwa leo
Kama si wewe...
Kama si wewe Yaweh....
Kama si wewe singelikuwa hai....

Kama si wewe, singelikuwa hapa
Kama si wewe, singelikuwa leo
Kama si wewe...
Kama si wewe Yaweh....
Kama si wewe singelikuwa hai....

Adui shetani amejipanga kuniangamiza mimi
Na njama zake zimekuwa nyingi kwa maisha yangu
Kila kuchao aweka mitego njia zangu, ili nipate mimi kuangamia
Bali naponea nisivyoelewa eee...

Hivi karibuni, tumelia sana ee...
Tumewapoteza wapendwa wetu huu...
Tuiowaenzi wandani wetu wa karibu
Wametutangulia kuingia mavumbini
Wajua sababu ya hayo yote ee...

Kama si wewe, singelikuwa hapa
Kama si wewe, singelikuwa leo
Kama si wewe...
Kama si wewe Yaweh....
Kama si wewe singelikuwa hai....

Kama si wewe, singelikuwa hapa
Kama si wewe, singelikuwa leo
Kama si wewe...
Kama si wewe Yaweh....
Kama si wewe singelikuwa hai....

Interlude

Umewahisikia, kwamba kumetokea ajali,
Wakafa watu wote akabakia mmoja...
Jioji wewe uliyebaki, u mwema kuliko walioaga
Mambo yake Mungu huwezikuyaelewa

Hivyo basi zote, tulo hai tunapaswa kufanya kazi yake
Usiku mchana, aliyetupa uhai...
Ndio maana ametupa uhai tuifanye kazi yake..
Maana duniani sisi tu wapitaji...

Kama si wewe, singelikuwa hapa (Mmmm)
Kama si wewe, singelikuwa leo... (Kama si wewe Yaweh)
Kama si wewe... (Si wewe)
Kama si wewe Yaweh.... (Si wewe Yaweh)
Kama si wewe singelikuwa hai.... (Si wewe)

(Kama si wewe)
Kama si wewe, singelikuwa hapa (Kama si wewe)
Kama si wewe, singelikuwa leo (Mimi mwana wako)
Kama si wewe... (Si wewe)
Kama si wewe Yaweh.... (Si wewe Bwana)
Kama si wewe singelikuwa hai....
(Kama si wewe)
Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai....
(Miimi..)
Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai....
(Umenitoa mbali saanai..)
Kama si wewe (Ee Bwana wangu) singelikuwa hai....
(Kama si wewe)
Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai....
(Kama si wewe)
Kama si wewe singelikuwa hai....
(Umenipa uhai bure)
Kama si wewe (Nashukuru) singelikuwa hai....

Комментарии

Информация по комментариям в разработке