TAZAMA: Sauti ya Zuchu ilivyowaliza na kuwafariji waombolezaji Uwanja wa Uhuru

Описание к видео TAZAMA: Sauti ya Zuchu ilivyowaliza na kuwafariji waombolezaji Uwanja wa Uhuru

Moja ya wimbo ambao hayati John Magufuli alizipenda sana ni "Tanzania ya Leo" ulioimbwa na msanii Zuchu.
Na leo hii wimbo huo umefanya kazi ya kuwaliwaza na kuwafariji watanzania kufuatia msiba wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli.


Tazama hali ilivyokuwa wakati huo.



Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке