Bado mapambano: Kumbukumbu ya maisha ya marehemu Otieno Kajwang'

Описание к видео Bado mapambano: Kumbukumbu ya maisha ya marehemu Otieno Kajwang'

Alikuwa kigogo wa kutajika katika ulingo wa kisiasa, na kwa wananchi alitambulika sana kwa wimbo wake maarufu wa ‘mapambano ‘ lakini mbali na hayo seneta Gerald Otieno Kajwang atakumbukwa kwa mengi hasa mchango wake mkubwa katika fani mbalimbali ikiwemo za kisiasa na hata kimaendeleo.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке