TANZANIA YARIDHISHWA NA UFADHILI WA POLAND KUKUZA SEKTA YA MIFUGO

Описание к видео TANZANIA YARIDHISHWA NA UFADHILI WA POLAND KUKUZA SEKTA YA MIFUGO

Jumla ya Shilingi Bilioni 1.5 imetengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) Kampasi ya Tengeru iliyopo Mkoani Arusha kupitia ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Tanzania na Poland.

Akizungumza mara baada ya kutembelea kampasi hiyo (28.09.2024), Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amesema serikali inaendelea na upanuzi wa LITA katika kampasi zote nchini ili kuhakikisha elimu inayotolewa inakidhi soko la ajira.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке