Vaileth Mwaisumo - Siku Mpya (Official Music Video)

Описание к видео Vaileth Mwaisumo - Siku Mpya (Official Music Video)

Siku mpya ni wimbo unaokukumbusha kwamba chini ya jua Kuna majira ya kukumbukwa, Kuna majira ya kufutwa machozi, Kuna majira ya kupewa heshima, wimbo huu unamshangilia MUNGU kwa namna alivyotenda mambo makuu, kwa namna alivyotutoa kwenye maumivu na mateso na kutupa raha.#vailethmwaisumo #sikumpya #nasahau

Комментарии

Информация по комментариям в разработке