Paul Ongili maarufu Babu Owino ashindwa kwenye kesi

Описание к видео Paul Ongili maarufu Babu Owino ashindwa kwenye kesi

Uchaguzi wa mbunge Wa Embakasi Mashariki Paul Ongili, almaarufu Babu Owino umebatilishwa na mahakama kuu, na wenyeji wa eneo hilo kuagizwa kurejea kwenye debe. Jaji joseph sergon, katika kesi iliyowasilishwa na Francis Muriithi aliafiki kuwa kinyang’anyiro cha tarehe 8 mwezi Agosti mwaka jana kilisheheni vurumai na ukiukaji wa sheria za uchaguzi. Wembe alionyolewa nao Babu Owino ukiwanyoa wenzake wawili katika bunge la kumi na mbili; Joyce Emanikor, mwakilishi wa akina mama kaunti ya Turkana na mbunge wa Wajir Magharibi Ahmed Kalosh.




Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
  / citizentvkenya  
  / citizentvkenya  
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
  / citizentvkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке