Tabora United 1-3 Fountain Gate FC | Highlights | NBC Premier League 20/09/2024

Описание к видео Tabora United 1-3 Fountain Gate FC | Highlights | NBC Premier League 20/09/2024

Tabora United wamekula kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Fountain Gate FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi Tabora...

William Edgar amefunga magoli mawili dakika ya 37 na 90, huku lingine likifungwa na Salum Kihimbwa kwa penati dakika ya 27.

Goli pekee la kufutia machozi kwa Tabora limefungwa na Yacoub Sogne dakika ya 77 huku Heritier Makambo akikosa penati dakika ya 43.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке