GB 64, ACHARUKA DIRISHA DOGO SIMBA KUSHUSHA VYUMA, ASEMA TUNAUTAKA UBINGWA WA AFRIKA.

Описание к видео GB 64, ACHARUKA DIRISHA DOGO SIMBA KUSHUSHA VYUMA, ASEMA TUNAUTAKA UBINGWA WA AFRIKA.

Kuelekea dirisha dogo la Usajili klabu ya Simba inasemekana imeshamalizana na baadhi ya Nyota ambao wanatajwa kutua klabuni hapo kwaajili ya kuongeza nguvu kwaajili ya kujiweka sawa katika mashindano Mbalimbali ikiwemo Ligi kuu na kombe la shirikisho barani Africa msimu huu, Simba wana malengo yakutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho barani Africa. #FEISAL, #KIPRE JUNIOR

Комментарии

Информация по комментариям в разработке