"Hakuna atakayelipishwa pesa yoyote kwa miaka mitatu"

Описание к видео "Hakuna atakayelipishwa pesa yoyote kwa miaka mitatu"

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ifikapo October 1, 2019 hataki kuona magari yakiuzwa sehemu nyingine katika Jiji la Dar es Salaam, isipokuwa Kigamboni ambako wafanyabiashara ya magari walitakiwa kuhamia mwezi huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке