ASKOFU DKT SHOO KUKUTANA NA WAANDISHI HABARI.

Описание к видео ASKOFU DKT SHOO KUKUTANA NA WAANDISHI HABARI.

Askofu Dkt.Fredrick Onael Shoo amewafananisha waandishi wa habari na malaika kutokana na kazi zao zakutoa ujumbe au habari.

Amesema hayo wakati akitoa salamu zake kwenye warsha ya waratibu na wasimamizi wa vyombo vya habari vya KKKT iliyofanyika kwenye ukumbi wa Usharika wa Ubungo jijini Dar es laam. chanzo cha habari    / @umojadaimamedia  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке