Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?

Описание к видео Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?

Kifaa cha kunawia sio lazima liwe sinki la pesa nyingi unaweza kuwa ata na kubuyu chirizi, ambacho umekiweka nje ya choo chako. Fanya kweli kwa kuweka kifaa cha kunawia mikono nje ya choo chako usikubali kubaki nyuma.
FANYA KWELI, USIBAKI NYUMA
MTU NI AFYA
#fanyakweli #usibakinyuma #mtuniafya #wizarayaafya #projectclear

Комментарии

Информация по комментариям в разработке