ALIYEFUTA AUDIO YA ENJOY YA JUX AFUNGUKA KUSHTAKIWA NA UONGOZI WA JUX / AFUNGUKA DIAMOND HAUSIKI.

Описание к видео ALIYEFUTA AUDIO YA ENJOY YA JUX AFUNGUKA KUSHTAKIWA NA UONGOZI WA JUX / AFUNGUKA DIAMOND HAUSIKI.

Mwanamuziki kutoka nchini Kongo SAPOLOGUANO aliyefuta wimbo wa juma_jux ambao amemshirikisha Diamondplatnumz Enjoy kwenye mtandao wa YouTube amefunguka ndai ya Mpenja tv kuwa uongozi wa Jux umeshtaki kutokana na yeye kushusha wimbo wao

Aidha amefunguka kutaka kufuta video ya wimbo huo endapo hawatafata anachokitaka yeye pia amesema anachotaka yeye ni maelewano tu na makubaliano

Комментарии

Информация по комментариям в разработке