”Mtu akiongea namsikia vizuri kuwa anaongea lakini siwezi kuelewa yale maneno”

Описание к видео ”Mtu akiongea namsikia vizuri kuwa anaongea lakini siwezi kuelewa yale maneno”

Rukia Jamal anasema changamoto ya usikivu hafifu hakuzaliwa nayo, ilianza taratibu lakini baada ya kujifungua Januari 2018 ndipo kwa mara ya kwanza tatizo lilizidi na masikio yake kuziba kabisa.

Licha ya changamoto hiyo Rukia ameweza kutumia fursa katika mitandao ya kijamii kufanya biashara na kutoa elimu kwa jamii kuhusu usikivu hafifu

Je usikivu hafifu ni nini? na anawezaje kufanya biashara katika hali hiyo?
-
Rukia Jamal anazungumza na @martha_saranga katika Waridi wa BBC kuanzia majira ya saa nane mchana na kujibu maswali yote.
-
-
-
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке