FANYA HIVI KUVUTIA WANAWAKE

Описание к видео FANYA HIVI KUVUTIA WANAWAKE

Fahamu jinsi ya kuongeza mvuto wa kimapenzi kutumia hatua 10 zilizosibitishwa na wanasayansi katika utafiti mbalimbali. Video hii inafafanua kwa undani ni jinsi gani wanaume wanaweza ongeza mvuto wa kimapenzi kwa kufuata hatua zilizotajwa kwenye video. Video hii ni kwaajili ya kina kaka, baba, wanaume walio oa ana wasio oa.

Copyrightⓒ
Inspirational Corporate by MaxKoMusic | https://maxkomusic.com/
Music promoted by https://www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 Unported
https://creativecommons.org/licenses/...


******

Shule ya Maisha ni chaneli ya kujifunza iliyopo kwa ajili yako kwa nia ya kukuelimisha katika mambo mbalimbali kama saikolojia, mahusiano, afya, uchumi na N.K. Ungana nasi kujifunza mambo mbali mbali katika maisha.


Kila wiki tunaposti video moja subscribe, like na kukomenti ili usipitwe na mada mbalimbali zenye mafunzo na burudani.


Copyrightⓒ2022 Shule ya Maisha. All rights reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке