Wabunge washikana mashati katika mazishi ya mkewe mbunge wa zama Kalembe Ndile

Описание к видео Wabunge washikana mashati katika mazishi ya mkewe mbunge wa zama Kalembe Ndile

Hata baada ya rais William Ruto kusalimu amri na kukataa kutia sahihi mswada wa fedha mwaka 2024, makundi ya Wakenya katika maeneo mbalimbali yangali yanaonekana kutoa hamaki zao kwa wabunge wao walioupigia kura mswaada huo.

Lakini sasa wabunge wanalaumu wenyewe kwa wenyewe kama ilivyoshuhudiwa katika mazishi ya mkewe mbuge wa zama Kalembe Ndile ambapo wanasiasa walishikana mashati kwa kukosa kuelewana.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке