Mwanamume wa miaka 23 apigwa risasi akiwa kituo cha polisi

Описание к видео Mwanamume wa miaka 23 apigwa risasi akiwa kituo cha polisi

Samson Mutunga Wambua mwenye umri wa miaka 23 anatsfuta haki kwa kupigwa risasi akiwa kizuizini katika kituo cha polisi cha Kilimambogo kaunti ndogo ya Thika Mashariki ,kaunti ya Kiambu. Komanda wa polisi katika eneo hilo Adrew Sora amethibitisha kisa hicho ,akisema afisa aliyemjeruhi Wambua ametoroka na anatafutwa.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/


#kbcchannel1 #news #kbclive

Комментарии

Информация по комментариям в разработке