6. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

Описание к видео 6. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

Hili ni somo la uponyaji wa moyo uliovunjika. Moyo wako ni kiungo muhimu cha maisha yako ya sasa na ya baadae. Maisha yako baada ya kufa, yanategemea hali ya moyo wako.

Katika somo hili, utaenda kujifunza vitu vinavyosababisha moyo uvunjike, lakini pia utaenda kujifunza mambo ya kufanya ili uweze kupokea uponyaji pale ambapo moyo wako umevunjika.

Mungu akubariki na kukupa amani.

Isaac Javan | +255 745 76 45 72

Комментарии

Информация по комментариям в разработке