Askari afyatua risasi hewani akizozana na Adam Malima

Описание к видео Askari afyatua risasi hewani akizozana na Adam Malima

Kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania kumesambaa video ambayo inamuonesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu Waziri wa Fedha wa zamani Adam Malima kabla ya Askari huyo kufyatua risasi hewani huku chanzo kikidaiwa Malima alipaki vibaya gari na kwenye kuambiwa litolewe ndipo majibizano yakaanzia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке