DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

Описание к видео DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda amefika katika soko la Tengeru na kuweza kutoa Tamko la Serikali lakuwataka Wafanyabiashara katika soko hilo kufuata taratibu zilizowekwa ili waendelee kufanya Bishara zao kwa amani bila usumbufu wowote
Kaganda ameyasema hayo mara baada ya muda mchache wananchi kufunga Barabara na kugoma kuhama kutoka barabarani kuelekea katika maeneo waliyopangiwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке