Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu (Official Music Video)

Описание к видео Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu (Official Music Video)

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.

#MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке