Aliyekuwa waziri wa ICT Margaret Ndung'u akataa uteuzi wa rais Ruto

Описание к видео Aliyekuwa waziri wa ICT Margaret Ndung'u akataa uteuzi wa rais Ruto

Kamati ya bunge ya ulinzi, ujasusi na masuala ya kigeni inawapiga msasa mabalozi wateule kabla ya kuidhinishwa na kutumwa katika mataifa mbalimbali. Hata hivyo, Margaret Nyambura Ndung’u aliyeteuliwa kuwa balozi wa Ghana alikosa kufika kwenye kikao cha kuhojiwa . Andrew Karanja anayetumwa brazil, Ababu Namwamba atakayewakilisha kenya katika mashirika ya umoja wa mataifa, na Noor Gabow anayetarajiwa kwenda Haiti wamepigwa msasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке