SHULE ZAATHIRIKA MERTI BAADA YA MTO EWASONYIRO KUVUNJA KINGO

Описание к видео SHULE ZAATHIRIKA MERTI BAADA YA MTO EWASONYIRO KUVUNJA KINGO

Shule Saba Katika Kaunti Ndogo Ya Merti, Isiolo Zimefungwa Baada Ya Miundombinu Muhimu Kuharibiwa Na Mafuriko Ya Mto Ewaso Nyiro Uliovunja Kingo Zake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке