ONE DAY

Описание к видео ONE DAY

Katika kijiji cha zuli kulikuwa na kijana anayeitwa jackson alipitia mateso mengi kwasababu alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa hata ndugu zake upande wa baba yake walikuwa awampendi kutokana na sumu ya maneno kutoka kwa mama yao ila mizimu ya mji mkubwa wa gwatanamu inamchanguwa yeye kuwa mkombozi dhidi ya mashetani wabaya tazama story hii kupitia Vanadium Tv

Комментарии

Информация по комментариям в разработке