FURAHA Episode 01 (Official ebondo movie)

Описание к видео FURAHA Episode 01 (Official ebondo movie)

furaha ni movie ambayo imeongelewa kiruga "EBEMBE EBONDO" Ikichezwa nakuongonzwa na #Rajabu
ni movie yenye mkasa wa mapenzi ambao unamafundisho ndani yake pia nisehemu
ya historia aliopitia Ndugu @Rajabu_Mmeo_Ramsey

hivyo usichoke kufwatilia mkasa huu episode moja bahada ya nyengine
taratibu zakutoa movie nikila juma pili "siku yatatu"
N.B:maoni yako ndio uboreshaji wakazi zetu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке