VIDEO: Diamond alivyoizindua bidhaa yake mpya, na bei yake je?

Описание к видео VIDEO: Diamond alivyoizindua bidhaa yake mpya, na bei yake je?

Ni June 29, 2017 staa Diamond Platnumz amezindua bidhaa yake mpya iitwayo Diamond Karanga ambayo itakuwa ikipatikana kwenye maduka yote Tanzania kwa shilingi 300.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке