Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA

  • Shamba Darasa TV
  • 2021-05-11
  • 83030
UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA
  • ok logo

Скачать UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA

Kuku chotara wana faida nyingi sana katika kilimo cha biashara. Kuku chotara ni muunganiko au mchanganyiko wa aina mbili tofauti za kuku.

ufugaji wa kuku wa nyama

ufugaji wa kuku kuroiler

ufugaji wa kuku chotara pdf

ufugaji wa kuku chotara

ufugaji wa kuku jamii forum

ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye tija

ufugaji wa kuku katika eneo dogo

ufugaji wa kuku 2021



Kuku hawa wana faida kadhaa kwako kama mjasiriamali mwenzetu:

Kuku hawa wanastahimili magonjwa. Hii inakusaidia kupunguza gharama za kuwatibu.
Kuku hawa wanataga mayai mengi tofauti na kuku wa kawaida wa kineyeji. Ukiwalisha vizuri wanaweza kutaga mpaka mayai 240 kwa mwaka, huu ukiwa ni wastani wa karibia yai 1 kwa siku.
Kuku hawa hukua kwa haraka na wana uwezo wa kufikia uzito wa kilogramu 3 katika muda wa miezi 3.
Unaweza kuwatumia hawa kuku kwa ajili ya kuuza kama nyama au kwa ajili ya kuzalisha mayai ya biashara.

Unataka Kuwafuga Kuku Hawa Kibiashara? Basi zingatia mambo makuu mawili: Usiwaache kuku wako kuatamia mayai. Kufanya hivi unawapotezea kuku wako muda wa kutaga. Kusanya mayai yako yatie kwenye mashine ya kutotorea vifaranga.

Au peleka kwa mfugaji mwenzako mwenye mashine (ambako utalipia gharama za kutotoresha kwa makubaliano).

Tengeneza chakula cha kuku wewe mwenyewe badala ya kununua. Kumbuka biashara yenye faida inaangalia gharama za uzalishaji dhidi ya bei ya kuuzia.

Hatua Za Ufugaji Wa Kuku Chotara Ili kufuga kuku chotara kwa ufanisi hakikisha unafanya mambo yafuatayo;

Andaa banda ambalo linafaa kwa matumizi ya ufugaji wa kuku.
Ukubwa wa banda uzingatie wingi wa kuku unaohitaji kufuga.
Banda lako linatakiwa liwe linapitisha hewa ya kutosha. Tafuta kuku wa kienyeji matetea (majike) na jogoo la kisasa aina yoyote kisha wachanganye katika banda moja. Unaweza kuanza na majike 2 na jogoo 1.

Hii itapelekea upate mayai chotara. Tumia mashine ya kutotoresha mayai ili kupata vifranga chotara. Kama haitawezekana kabisa tumia basi waache kuku waatamie mayai hayo.

Baada ya wiki tatu (siku 21) vifaranga watakuwa tayari kutotolewa kwa kutumia matetea ya kuku wa kienyeji au mashine ya kutotolesha vifaranga. Kwa muda wa wiki tatu hadi nne vifaranga wako wanahitaji joto la kutosha kwa ajili ya ukuaji na afya njema hivyo hakikisha unatumia kinengunengu kuwatunza (soma makala juu ya kinengungu hapo juu).

Vifaranga Wakiwa Tayari Chanjo Muhimu Inahitajika Ili Kuzuia Vifo Na Milipuko Ya Magonjwa Mbalimbali. Fuata hatua zifuatazo kuhakikisha vifaranga wako wanakua vyema: Siku ya kwanza hadi ya tatu tangu kutotolewa wapatie vifaranga glukosi na vitamini pamoja na chanjo za magonjwa ya Mahepe (Mareks disease) na Mdondo (Newcastle disease).

Siku ya 10 wapatie chanjo ya ugonjwa wa Gumboro. Siku ya 18 wapatie tena chanjo ya ugonwja wa Gumboro.

Siku ya 21 wapatie tena chanjo ya ugonjwa wa Mdondo. Wapatie pia chanjo ya ugonjwa wa ndui (fowl pox). Wiki ya 12 (siku ya 84) wapatie kuku wako chanjo ya ugonjwa wa homa ya matumbo (fowl typhoid).

ANGALIZO: Usichanganye maji ya chanjo na vitamini au glukosi. Chanjo ifanyike wakati wa jioni au asubuhi. Kamwe chanjo isifanyike wakati wa mchana. Hakikisha huchanji kuku wagonjwa bali wenye afya. Ukishachanganya chanjo kwenye maji, kuku wanywe maji hayo kwa muda wa masaa mawili tu baada ya hapo mwaga mchanganyiko huo na osha vyombo vya maji na uweke maji safi yaliyochanganywa na vitamini.

Tumia vyombo vya plastiki wakati wa kuchanganya na kuwapa kuku maji ya chanjo Wanyime kuku maji kwa masaa mawili kabla ya kuwapa maji ya chanjo. Weka kumbukumbu za chanjo uliyotumia ikiwemo toleo la chanjo (batch number). Vifaranga wapewe dawa ya kuzuia ugonjwa wa kuharisha damu (cocidiosis) kwa muda wa siku tatu mfululizo mara wafikishapo umri wa siku saba. Vifaranga wapewe dawa ya minyoo wafikishapo umri wa miezi miwili (siku 60) na baada ya hapo wapewe dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu.
#mkulimasmart
#shambadarasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA
    KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA
    1 год назад
  • SASSO NA KUROILER LISHA KWA UTARATIBU HUU NI RAHISI
    SASSO NA KUROILER LISHA KWA UTARATIBU HUU NI RAHISI
    2 года назад
  • TAKA SIFURI YAPAZA SAUTI KWA VIONGOZI
    TAKA SIFURI YAPAZA SAUTI KWA VIONGOZI
    4 дня назад
  • BAJETI NA FAIDA YA KUKU CHOTARA 300 | Sasso, kroila, Tanbro | ufugaji wa kuku kienyeji
    BAJETI NA FAIDA YA KUKU CHOTARA 300 | Sasso, kroila, Tanbro | ufugaji wa kuku kienyeji
    11 месяцев назад
  • КИЛИМО АЛМАСИ | Яичное куриное хозяйство
    КИЛИМО АЛМАСИ | Яичное куриное хозяйство
    4 месяца назад
  • SIKU YA KWANZA YA VIFARANGA VYA KIENYEJI NDANI YA BROODER
    SIKU YA KWANZA YA VIFARANGA VYA KIENYEJI NDANI YA BROODER
    4 месяца назад
  • #SILVERLANDS WANAKULETEA KUKU AINA YA SASSO KATIKA MAONESHO YA NANENANE   |    MBEYA
    #SILVERLANDS WANAKULETEA KUKU AINA YA SASSO KATIKA MAONESHO YA NANENANE | MBEYA
    3 года назад
  • WAZO HADI BIASHARA:UFUGAJI KUKU ULIVYOBADILI MAISHA YA VEROMAKUKU
    WAZO HADI BIASHARA:UFUGAJI KUKU ULIVYOBADILI MAISHA YA VEROMAKUKU
    3 месяца назад
  • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI ndani ya cage:Faida za kufugia kuku wa mayai ndani ya keji.
    UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI ndani ya cage:Faida za kufugia kuku wa mayai ndani ya keji.
    4 года назад
  • BATA BUKINI WANAMPATIA MAMILIONI YA FEDHA I KIJANA AVUNJA REKODI YA UFUGAJI BATA TANZANIA
    BATA BUKINI WANAMPATIA MAMILIONI YA FEDHA I KIJANA AVUNJA REKODI YA UFUGAJI BATA TANZANIA
    5 месяцев назад
  • HII HAPA BAJETI YA KUFUGA KUKU WA MAYAI. TAJIRIKA KUPITIA KUKU.
    HII HAPA BAJETI YA KUFUGA KUKU WA MAYAI. TAJIRIKA KUPITIA KUKU.
    2 года назад
  • KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO
    KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO
    9 месяцев назад
  • MAAJABU YA LOCA CAGE ZA KUFUGIA KUKU 180-200 KWA GHARAMA NAFUU LINALOCHUKUA ENEO DOGO.
    MAAJABU YA LOCA CAGE ZA KUFUGIA KUKU 180-200 KWA GHARAMA NAFUU LINALOCHUKUA ENEO DOGO.
    2 года назад
  • UFUGAJI WA KUKU SULUHISHO LA AJIRA
    UFUGAJI WA KUKU SULUHISHO LA AJIRA
    1 год назад
  • “Kwa Nini SASSO ni Chaguo Bora Kwa Wafugaji? Fahamu Siri za Kuku Huyu Hodari!
    “Kwa Nini SASSO ni Chaguo Bora Kwa Wafugaji? Fahamu Siri za Kuku Huyu Hodari!
    3 месяца назад
  • Ukiwa Na Mtaji wa Tsh 200,000/=,  Unafuga kuku wa kienyeji, FAIDA Tsh 150,000/= Kila mwezi.
    Ukiwa Na Mtaji wa Tsh 200,000/=, Unafuga kuku wa kienyeji, FAIDA Tsh 150,000/= Kila mwezi.
    2 недели назад
  • KUKU KROILER HYBRID | Wonders Farm Tz | Dar es salaam Tanzania
    KUKU KROILER HYBRID | Wonders Farm Tz | Dar es salaam Tanzania
    4 месяца назад
  • Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI
    Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI
    6 лет назад
  • Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Dada Aliamua hadi Kuacha Kazi TBL
    Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Dada Aliamua hadi Kuacha Kazi TBL
    3 года назад
  • Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
    Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
    3 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com