Shughuli ya ushirikishaji wa umma kumtimua Gachagua yatatizika baada wakazi kudai mlungula kutamba

Описание к видео Shughuli ya ushirikishaji wa umma kumtimua Gachagua yatatizika baada wakazi kudai mlungula kutamba

shughuli ya ushirikishaji wa umma kuhusu hoja ya kumtimua naibu rais rigathi gachagua ilitatizika katika maeneo mengi nchini. baadhi ya wakaazi walisusia kushiriki wakidai kwamba baadhi ya stakabadhi za kupiga kura zilikuwa ghushi huku wengine wakiibua madai ya mlungula kutamba.. margaret kimathi na taarifa hiyo kutoka kaunti mbalimbali nchini.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке