MASWALI YOTE

Описание к видео MASWALI YOTE

MASWALI YOTE YA DUNIA HII
1. Maswali yote ya dunia hii ya hukumiwa kwa matendo yao ¨uzuni ni naos ile wala si nywe
moyoni mwangu munamo sikitiko¨2x
Ref : Yoyoyo mateso , haya mateso moyoni mwangu ¨Ya meniuzunisha ¨2x ninge
lifahamu
mimi singe lizaliwa ninge lifariki tumboni mwa mamangu ili ni sione mateso ya
duniani.
2. Wakati mimi nilipo zaliwa wazazi wangu na watu wengineo ¨ walifurahi na wakanywa pombe
leo hii watu hawa wame uzunishwa¨2x
3. Nita laani kwa siku zile nilipo zaliwa tumboni mwa mamangu na maziwa ya mama yangu
yalikuweko kwa mimi ku nyonya inchini pote kwa siku zile nilipo zaliwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке