Agnes Sebastian_ UKIONA VEMA official video

Описание к видео Agnes Sebastian_ UKIONA VEMA official video

BWANA YESU apewe sifa milele! Kwa neema ya MUNGU nakuletea video ya wimbo mzuri unaoitwa UKIONA VEMA. Wimbo huu ni ujumbe uliokaa katika lugha ya kimaombi, tukimtaka BWANA ashughlike na haja zetu mbalimbali kama yeye anavyoona vema. Ni imani yangu ya kwamba MUNGU aliyehai, atagusa maisha yako kupitia ujumbe uliomo ndani ya wimbo huu. karibu sana utazame na kusikiliza.

#UKIONA_VEMA
#AGNESSEBASTIAN
#NYIMBO_ZA_INJILI
#gospel_songs
#NEW_SONG

Комментарии

Информация по комментариям в разработке