#SamiaMotocrossChampionship2024

Описание к видео #SamiaMotocrossChampionship2024

Tazama wataalamu wa kukimbiza pikipiki wakifanya 'maufundi' yao kwenye kwenye mashindano ya pikipiki ya Samia Motocross Championship katika viwanja vya Laki Laki mkoani Arusha.

Washindi watakwenda kuiwakilisha nchi kwenye michuano mbalimbali ya kikanda na kimataifa, ikiwemo mashindano yatakayofanyika mwezi wa tisa nchini Morocco.

#SamiaMotocrossChampionship2024 #RacingShow #Arusha

Комментарии

Информация по комментариям в разработке