Leo

Описание к видео Leo

Leo #MariaSpaces tunajadili: Get Up, Stand Up - tunalinda vipi haki zetu?
Tumeona ndugu zetu wamaasai kufanikisha maandamano ya amani Jumapili wakiwa na mabango yao!
Hii ni baada ya kuchoka uonevu na dhulma ya serikali ya CCM
Tunajiteteaje? Mbinu za amani ni zipi?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке