MAGGIE WA NYUMBANI - NDOVU KUU X BIEN THE BALDMAN ( SKIZA CODE 8089369)

Описание к видео MAGGIE WA NYUMBANI - NDOVU KUU X BIEN THE BALDMAN ( SKIZA CODE 8089369)

Maggie Wa Nyumbani is a song describing a Taboo African Love Story..It then goes ahead to explain how Love always wins despite all the differences..
#MAGGIEWANYUMBANI #ndovukuu #sautisol

Written and Performed by Bien Aime and Ndovu Kuu.
Music,Produced,Mixed and Mastered by Ndovu Kuu at Ndovu Kuu Studios.
Video Directed by Johnson Kyallo

LYRICS:

Ouuuuuuuh
Ouuuuh yeah
Ouuuuuuh yeah

Maggie wa Nyumbani
I could change your life
N'kuvishe pete yako aki you could be my wife
Maggie wa Nyumbani
We could be so nice
Ambia buda yako n'mekushika kama vice

Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Maggie wa Nyumbani you know you changed my life
Nimebadilika girl I put the hoes on ice
Maggie wa Nyumbani tell me what's your price
I can make it rain oh baby I could roll the dice
Maggie wa Nyumbani ushanipandisha moyo
Ukanipandisha bei baby ulinitoa kwa soko
Maggie wa Nyumbani I'll never quit smoking for ya
But you know I'm gon be loyal you know I'm gon be loyal
Unaroll na Ndovu ni mathao
Ongeza nyama Njeri si pilau
Siku za kusota we sahau
I'm always on the go but I'll never let you go baby

Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Aiih Penda
S'unajua vile mi hukupenda
S'tai Kutenda
Unajua mi si pretender
Eyy Kana
Kitu ni kuu si slender
H'wezi kana
S'wambie vile k'uenda
Hauskii mi na budako hushare jina daddy daddy
Naskia ati kikulacho kiko inner ndani ndani
Kwanza nikikujako humo inner inakuaga journey
Hun'patia feeling ingine hainaga jina kautamu flaaaani
Star vile unakaa
Na iyo smile yako s'jaiona kaa
Unadai jiko ndo iyo makaa
Nikupepete vile inafaa
Ah ah vile inafaa
Uskie fiti uskie kupaa
N'kulishe fiti uskie umejaa
Na sio popote n'mahali inafaa

Maggie wa Nyumbani
I could change your life
N'kuvishe pete yako aki you could be my wife
Maggie wa Nyumbani
We could be so nice
Ambia buda yako n'mekushika kama vice

Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Us'we na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we're just crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Unaroll na Ndovu ni mathao
Ongeza nyama Njeri si pilau
Siku za kusota we sahau
I'm always on the go but I'll never let you go baby

Комментарии

Информация по комментариям в разработке