GONJWA JIPYA LA IBUKA TANZANIA

Описание к видео GONJWA JIPYA LA IBUKA TANZANIA

Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini huku kwa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na 71% ya vifo vyote Duniani ukilinganisha na vifo milioni 57 kwa mwaka 2016 duniani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке