RIZIKI MWANZO WA CHUKI KHADIJA YUSSUFU/JAHAZI MODERN TAARAB

Описание к видео RIZIKI MWANZO WA CHUKI KHADIJA YUSSUFU/JAHAZI MODERN TAARAB

Riziki huweza kumuweka mtu katika hali ya masha kwani kuna mtu au watu wengine wasipende kile unachikipata kila siku katika maisha yako.Baadhi ya watu wanapenda kukuona ukiwa katika maisha ya dhiki kila kukicha.Lakini mwisho wa yote ujua kuwa wao sio watoaji liziki lakini bado wanaweza kukuwekea roho mbaya na fitna zisizo na msingi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке