JIONEE: MAGARI yanavyopita chini ya BAHARI New York

Описание к видео JIONEE: MAGARI yanavyopita chini ya BAHARI New York

Ukitembea kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kukutana na vitu vingi vya kiteknolojia ambavyo havipo Afrika, hii ni moja ya barabara za chini ya maji kwenye jiji la New York Marekani.

Unapita kwa gari chini ya maji kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ni kama utoke Posta Dar es salaam kuvuka kwenda Kigamboni lakini kwa kupita chini ya maji..... JIONEE MWENYEWE

Комментарии

Информация по комментариям в разработке