Azam TV – Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji

Описание к видео Azam TV – Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji

Huenda unapenda kufuga samaki, lakini unashindwa kwakuwa hakuna sehemu ya kutosha. Makala ya Shambani iliyoandaliwa na mwandishi wa Azam TV Jamaly Hashim, inatoa darasa la ufugaji huo wa kisasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке