SERIKALI KUANZA KUWATAFUTIA MASOKO WAKULIMA WA ZAO LA CHIKICHI, MAJALIWA ATOA MAAGIZO “SIMAMIENI''

Описание к видео SERIKALI KUANZA KUWATAFUTIA MASOKO WAKULIMA WA ZAO LA CHIKICHI, MAJALIWA ATOA MAAGIZO “SIMAMIENI''

Waziri Mkuuu Majaliwa amesema Serikali imeamua kuongeza mazao ya kimkakati kufikia tisa lengo ni kuongeza tija katika mazao hayo kibiashara yatakayoiwezesha Nchi kuongeza kipato ambapo katika kutimiza hilo wakulima watasimamiwa katika maeneo yao ili kuhakikisha uzalishaji wake unakuwa mzuri.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке