Ufugaji Njiwa Tausi / Fuga Kibiashara

Описание к видео Ufugaji Njiwa Tausi / Fuga Kibiashara

Umbo kubwa, kibwenzi, soksi, mikia na mbawa refu ni sifa za njiwa tausi wa Marekani, huitwa AMERICAN FANTAIL.

Kwa maulizo weka kwenye COMMENT chini ntakurudia.

Elimu, maarifa ya njiwa, na muendelezo wa vipindi vinavyofuata gusa sehemu iloandikwa SUBSCRIBE .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке