Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

Описание к видео Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini ukubwa wa mafanikio yake umedhihirisha kuwa akili ya maisha inaweza kukupa ushindi ukizingatia inavyotakiwa, ameshaanza ujenzi wa nyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam.

MAWASILIANO YA HAMIDU CITY: +255 22 21 23 075 MOBILE: 0672 918883, 0756 980000 & 0659 500 100. [email protected] INSTAGRAM: @Hamiducity

Комментарии

Информация по комментариям в разработке