JINSI YA KUPIKA WALI WENYE NANASI NA NAZI RAHISI SANA KUANDAA

Описание к видео JINSI YA KUPIKA WALI WENYE NANASI NA NAZI RAHISI SANA KUANDAA

📌Wali mtamu na mzuri
▪️Weka kipimo kulingana na wingi wa familia yako
▪️Jitahidi kutumia nanasi ambalo si chachu au chagua lililo pea vizuri
▪️Unaweza kula wakati wa dinner au lunch
▪️Unaweza kutumia mchele wa aina yeyote mimi nimetumia basmat.

Kama haujaelewa usisite kuuliza katika comments .

Please subscribe and share🙏

Комментарии

Информация по комментариям в разработке