N.I.T Ke - Wakenya

Описание к видео N.I.T Ke - Wakenya

Lyrics
Kenya inazoroteka
Naimba nikisononeka
Gharama inatusotesha
Uye uyeyeyeye

Wakenya nyi mjipange
Pale bunge ni magaidi wamevalia suti
Eleelelee
Wakenya nyi mjipange
Hapa bunge si ni magaidi tumevalia suti
Olololo
Kenya
Oh oh yangu Kenya
Inafilisishwa na watu wa ubinafsi
Ooh yangu Kenya
Ooh basi
Wakenya nyi mjipange


Kwa kivuli ya usiri na ukora, serikali ya ufisadi ilifanikiwa,
Kwa nguvu na uchoyo, wametutenganisha
Lakini mioyoni mwa wale waliothubutu kuota,
Cheche ya tumaini imewashwa, na ina nguvu kuliko nuru.

Karibu Kenya penye ufisadi ulitumiliki
Penye,,, wafanya kazi ni wale wanajuana na wenye kazi
Penye,,state house inageuzwa geuzwa,, I say mara ni bar,, mara ni kanisa, sielewi?
Penye ufisadi ikikufavor unasema ni God
Penye,,skrrt, aah, wasanii tunateseka na pesa zinaliwa na wenye wako kwa ofisi (shame on you)

Katika kumbi za madaraka, ufisadi unachukua ushuru,
Utawala hauna mwongozo, mioyo yao baridi sana, wanaongeza vitu bei bila kujali mifuko ya wenyenchi.
Wanadanganya sheria, kudumisha mali zao,
Ehe
Naskia mnataka kubadilisha katiba tuongeze term?
Wakati watu wanateseka, katika hadithi hizo hazijulikani.
Uwazi ni mgeni, usiri imani yao,
Wanapokanyaga haki, na kila tendo baya.
Lakini umoja, tunasimama, dhidi ya serikali yao ya giza,
Kwa umoja na ukweli, tutatikisa ndoto hii chafu
Kenya ni kubwa kuliko walafi, wachoyo na wapumbavi wanao zorotesha uchumi
I say vichwa zao zimejaa shonde, realizing that io kichwa wako nazo ni maridadi ya kubebea meno
Kenya yangu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке