Nyimbo nzuri za Kwaresma 2024.

Описание к видео Nyimbo nzuri za Kwaresma 2024.

The Lenten Period is a period of repentance and reconciliation with God.
"Nirudieni Mimi kwa mioyo yenu yote", asema bwana.

   • Jumapili ya matawi,,ona walivyojawa n...  

KWARESMA ni kipindi cha siku 40 za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma kiroho na kimwili. Ni kipindi kinachotutaka kudumisha ule utamaduni wetu mzuri.

   • Rozari takatifu- matendo ya uchungu.(...   rosary matendo ya uchungu

   • Nisaidie Nishide Mapito-Kwaresma@macb...  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке