Gavana Nassir apiga marufuku biashara ya muguka Mombasa

Описание к видео Gavana Nassir apiga marufuku biashara ya muguka Mombasa

Gavana wa Mombasa Abdulsalam Shariff Nasir amepiga marufuku biashara ya muguka katika kaunti hiyo. Akizungumza katika hospitali ya portriez baada ya kutia saini agizo hilo amesema kuwa muguka ni zao linaloongoza kwa uraibu kisiwani Mombasa Na kuwa vijana wengi huenda wakaangamia iwapo hatua madhubuti hazitachukuliwa. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi kutoka Mombasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке