Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??.

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-04-26
  • 13400
Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??.
  • ok logo

Скачать Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??.

Uzito wa mama Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha hutofautiana na Mjamzito mwenye Mimba ya mtoto mmoja kwa kiasi kikubwa Sana, hivyo endepo Mjamzito akiwa na Mimba ya Mapacha anahitaji kuongezeka Uzito maradufu ya mwenye Mimba ya kawaida hii ni kwa sababu ya Watoto wawili waliomo ndani mwake, kuwepo wa kuta zinazo wazunguka watoto zaidi ya mbili na vitu vingine vingi.

Hivyo Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha anashauriwa kufuata utaratibu wa kiafya ili kuhakikisha kuwa mwishoni mwa Ujauzito ajifungue Watoto wenye Uzito stahiki ili kuwa na Afya Bora na ukuaji Bora wa watoto wake.

Ili kuweza kujua ni namna gani ya kujua mwenendo wa Uzito wako katika kipindi cha Ujauzito unatakiwa kufahamu upo katika kundi gani la watu kulingana na uwiano wa Uzito wako na Urefu wako (Body Mass Index).

Uzito wa Mimba ya Mjamzito mwenye Mtoto mmoja unaweza kubongeza link hii
   • Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa ...  

Mjamzito mwenye Mapacha huweza kujifungua wiki ya ngapi?
   • Je Mama Mjamzito mwenye Mapacha anaweza ku...  


Kwa kawaida kuna makundi manne ya watu kulingana na Uwiano wa Uzito na Urefu wa watu (BMI),Makundi hayo ni kama ifuatavyo;

1.Kundi la kwanza ni akina Mama wenye Uzito chini ya 18.5Kg/M².
Hawa ni akina Mama wenye Utapiamlo hawa wanatakiwa kuongezeka Uzito kuanzia kilo 22.7 mpaka kilo 28.2 kwa hiyo akina Mama katika kundi hili wanatakiwa kuongezeka Uzito ndani ya hiko kiwango kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwishoni wanapojifungua .

2.Kundi la pili ni akina Mama wenye Uzito kati ya 18.5Kg/M² -24.9kg/M².
Hawa ni akina Mama wenye Uzito wa kawaida na stahiki hawa wanatakiwa kuongezeka Uzito kuanzia kilo 16.8 mpaka kilo 24.5 kwa hiyo akina Mama katika kundi hili wanatakiwa kuongezeka Uzito ndani ya hiko kiwango kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwishoni wanapojifungua.

3.Kundi la tatu ni akina Mama wenye Uzito kati ya 25Kg/M² -29.9kg/M².
Hawa ni akina Mama wenye Uzito Mkubwa kupindukia hawa wanatakiwa kuongezeka Uzito kuanzia kilo 14.1 mpaka kilo 22.7 kwa hiyo akina Mama katika kundi hili wanatakiwa kuongezeka Uzito ndani ya hiko kiwango kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwishoni wanapojifungua.

4.Kundi la tatu ni akina Mama wenye Uzito kati ya 30kg/M² na zaidi.
Hawa ni akina Mama wenye kiriba tumbo hawa wanatakiwa kuongezeka Uzito kuanzia kilo 11.9 mpaka kilo 19.1 kwa hiyo akina Mama katika kundi hili wanatakiwa kuongezeka Uzito ndani ya hiko kiwango kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwishoni wanapojifungua.

Endapo Mjamzito ataongezeka Uzito chini ya kiwango huweza kupelekea kujifungua Mtoto mwenye chini ya kilo 2.5 na kupelekea Mtoto kupoteza joto kwa haraka zaidi,kushindwa kunyonya kwa wakati na kuwa kwenye hatari ya kupata Magonjwa mbali.


Dalili za Mimba ya Mapacha
   • Dalili za mimba ya Mapacha  


Endapo Mjamzito ataongezeka Uzito zaidi ya kiasi stahiki huwezi kupelekea Mama kujifungua Mtoto mwenye zaidi ya kilo 4 ambapo huweza kusababisha mama kufanyiwa upasuaji, Mtoto kuishiwa sukari mwilini na huweza kupelekea kifo kwa Mtoto wake mara baada ya kujifungua.

#DrMwanyika
#MamaAfya
#UzitoMapacha

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je ni lini Mtoto hugeuka Tumboni?? | Ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??
    Je ni lini Mtoto hugeuka Tumboni?? | Ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??
    4 года назад
  • Ujauzito ni wa Mapacha lakini nimepewa mtoto mmoja Hospitali
    Ujauzito ni wa Mapacha lakini nimepewa mtoto mmoja Hospitali
    8 лет назад
  • Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???
    Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???
    4 года назад
  • Vipimo Vinavyofanyika Kliniki ya Ujauzito: Hudhurio la Kwanza kwa Mama Mjamzito
    Vipimo Vinavyofanyika Kliniki ya Ujauzito: Hudhurio la Kwanza kwa Mama Mjamzito
    4 года назад
  • MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4 AONGEA -
    MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4 AONGEA - "MIMBA ILIKUWA NZITO MNO"
    3 года назад
  • Je Mjamzito Mwenye Mtoto Mkubwa Tumboni Hutokana na Nini? (Sababu Na Athari Za Mtoto Mkubwa Tumboni)
    Je Mjamzito Mwenye Mtoto Mkubwa Tumboni Hutokana na Nini? (Sababu Na Athari Za Mtoto Mkubwa Tumboni)
    3 года назад
  • Dalili 13 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 4 AU Wiki 16 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 16
    Dalili 13 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 4 AU Wiki 16 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 16
    2 года назад
  • UKWELI KUHUSU ULTRASOUND MACHINE || USIDANGANYIKE TENA
    UKWELI KUHUSU ULTRASOUND MACHINE || USIDANGANYIKE TENA
    5 лет назад
  • Muda Sahihi Wa Mtoto Kuota MENO. Mtaalamu Ruth MUNGAI Afafanua.
    Muda Sahihi Wa Mtoto Kuota MENO. Mtaalamu Ruth MUNGAI Afafanua.
    2 года назад
  • #MuhimbiliTv# Tatizo la utapiamlo kwa watoto
    #MuhimbiliTv# Tatizo la utapiamlo kwa watoto
    3 года назад
  • Je Mjamzito Utaongezaje Uzito WA Mtoto Aliyeko Tumboni Mwako? (Uzito WA Mjamzito/Mtoto Tumboni)!!
    Je Mjamzito Utaongezaje Uzito WA Mtoto Aliyeko Tumboni Mwako? (Uzito WA Mjamzito/Mtoto Tumboni)!!
    2 года назад
  • ⚡️НОВОСТИ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ И ИЗРАИЛЮ | ИРАН ОБЪЯВИЛ ДЖИХАД | ОБРАЩЕНИЕ ПУТИНА |ПЕРЕКРЫТ ТРАФИК НЕФТИ
    ⚡️НОВОСТИ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ И ИЗРАИЛЮ | ИРАН ОБЪЯВИЛ ДЖИХАД | ОБРАЩЕНИЕ ПУТИНА |ПЕРЕКРЫТ ТРАФИК НЕФТИ
    3 часа назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    2 года назад
  • Je Mjamzito Unaweza Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito Wako? | Madhara Ya Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito!
    Je Mjamzito Unaweza Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito Wako? | Madhara Ya Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito!
    2 года назад
  • Je Maumivu Ya Kiuno Kwa Mjamzito Miezi 3 Ya Mwishoni Hutokana NA Nini? (Wiki 28 - 32, 33 NA 35)!
    Je Maumivu Ya Kiuno Kwa Mjamzito Miezi 3 Ya Mwishoni Hutokana NA Nini? (Wiki 28 - 32, 33 NA 35)!
    3 года назад
  • BINTI WA MIAKA 29 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE/ MUMEWE AMKIMBIA
    BINTI WA MIAKA 29 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE/ MUMEWE AMKIMBIA "MAUMIVU MAKALI"
    2 года назад
  • Je kwa nini Mjamzito hupimwa (Kimo) Urefu wa tumbo? | Urefu wa tumbo humaanisha umri wa Ujauzito???
    Je kwa nini Mjamzito hupimwa (Kimo) Urefu wa tumbo? | Urefu wa tumbo humaanisha umri wa Ujauzito???
    4 года назад
  • Je Mama Mjamzito mwenye Mapacha anaweza kujifungua wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini?.
    Je Mama Mjamzito mwenye Mapacha anaweza kujifungua wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini?.
    5 лет назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    3 года назад
  • Je Kujifungua Wiki Ya 32-34 Mtoto Mchanga hupati madhara gani? (Sababu Za Kujifungua Wiki 32/34?).
    Je Kujifungua Wiki Ya 32-34 Mtoto Mchanga hupati madhara gani? (Sababu Za Kujifungua Wiki 32/34?).
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com