Unachoma vipi mwili wa binadamu aliyefariki?

Описание к видео Unachoma vipi mwili wa binadamu aliyefariki?

Kuuchoma mwili wa binadamu baada kifo limekuwa ni jambo la kawaida kwa miaka mwingi miongoni mwa jamii za India na Nepal ambapo mchakato huu umekua ukifanyika mahala palipo wazi na utamaduni wa tangu enzi za kale . Kuanzia karne ya 19 , uchomaji wa maiti ulianza kutekelezwa katika maeneo mengine ya dunia .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке