TETEENI KISWAHILI KINAPOPOTOSHWA MSIKAE KIMYA NI MANENO YA MGENI RASMI MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Описание к видео TETEENI KISWAHILI KINAPOPOTOSHWA MSIKAE KIMYA NI MANENO YA MGENI RASMI MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Kati ya mambo mengi yaliyozungumzwa na mgeni Rasmi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete katika maadhimisho ya miaka 10 ya watetezi wa kiswahili Tanzania (WAKITA) Pamoja na Uzinduzi wa Hidaya za Penina Muhando. Mgeni Rasmi alinukuliwa akisema Waandishi wa vitabu vya kiswahili "Teteeni kiswahili kinapopotoshwa"

Комментарии

Информация по комментариям в разработке