Kilimo Biashara | Tunaangazia aina mpya ya mtama unaotumiwa nchini

Описание к видео Kilimo Biashara | Tunaangazia aina mpya ya mtama unaotumiwa nchini

Watafiti nchini sasa wamevumbua aina mpya ya mtama ambao una uwezo wa kustahimili uvamizi wa ndege na hata ukame. Wakulima wadogo pia wanaweza kutumia aina hii mpya ya mtama kama chakula cha mifugo baada ya kuvuna.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке