SAIKOLOJIA YA MWANAMME

Описание к видео SAIKOLOJIA YA MWANAMME

Kuna ufa mkubwa wa ufahamu baina ya wanandoa, darsa hili linatoa mwangaza kwa wanawake waliomo ndani ya ndoa juu sifa na saikolojia za waume zao, hii itasaidia kupunguza misuguano iliyomo ndani ya ndoa zetu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке