BIZMAN - Chanzo Cha Kuingia Bongo Fleva Kutoka Kwenye Band - Part 2

Описание к видео BIZMAN - Chanzo Cha Kuingia Bongo Fleva Kutoka Kwenye Band - Part 2

Tunaendelea na mazungumzo na Bizman. Hapa ametuonesha umaestro wake kwenye muziki wa Bongo na jinsi alivyohusika na vibao kibao. Tunaona pia jinsi alivyotoka kwenye muziki wa band na kuingia Bongo Flava

#bongofleva #bizman #bongoproject #tanzania #inafrika


Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------

Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-project-102566415873260  

TikTok:   / bongoproject  

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке