MTANZANIA ALIYEKWAMA UWANJA wa NDEGE UTURUKI AMEFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU DAR...

Описание к видео MTANZANIA ALIYEKWAMA UWANJA wa NDEGE UTURUKI AMEFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU DAR...

MTANZANIA ALIYEKWAMA UWANJA wa NDEGE UTURUKI AMEFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU DAR...


Sad news! Mtanzania Yasinta Benard Matete ambaye wiki kadhaa zilizopita Global TV iliripoti taarifa kwamba amekwama katika Uwanja wa Ndege wa Istanbul, Uturuki kwa siku kadhaa baada ya kuachwa na ndege, amefariki dunia.

Mama wa binti huyo, Hilda Elikana ameiambia Global TV kwamba binti yake alifikwa na mauti Jumatatu ya April 29, 2024 katika Hospitali ya Police Barrack, Kilwa Road jijini Dar es Salaam.

Awali, baada ya Global TV kuripoti habari ya binti huyo akiomba msaada kwa Watanzania apate nauli ya kukata tiketi nyingine, wasamaria wema walijitokeza kwa wingi na kumsaidia na hatimaye, alipanda ndege na kurudi nchini ambapo moja kwa moja alipelekwa hospitali kutokana na afya yake kuwa dhoofu.



Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке